Monday, March 28, 2016

Anonymous

Babu Tale: Niko Tayari Kumsaidia Msanii yeyote Anayetaka Kuacha Madawa ya Kulevya!


Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa sober House Bagamoyo.

Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka sober bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta hii midude.
Mungu ambariki sana huyu jamaa!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.