Monday, March 7, 2016

Anonymous

6 PICHAZ: Richie RICHIE Alivyokutana na Waziri NAPE Leo na Tuzo ya African Magic Viewer’s Choice 2016


Usiku wa March 6 Single Mtambalike maarufu kama Richie Richie, aliwasili na tuzo yake ya African Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, na leo March 7 ilikuwa ni wakati wa kuipeleka tuzo wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuinesha kwa waziri Nape Nnauye.
Hizi ndio pichaz za tukio lenyewe mtu wangu

Rose Ndauka na Richie Richie wakiwa na tuzo kabla ya kuipeleka kwa waziri Nape

Richi Richie akiongea mbele ya waandishi wa habari na waziri

Waziri Nape akiongea na kutabasamu kwa furaha ya tuzo

Waziri Nape akikabidhi cheti cha pongezi kwa Richie Richie

Baada ya hapo wakapiga picha ya pamoja na waziri Nape

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.