Monday, February 29, 2016

Anonymous

Waziri Mkuu Amsimamisha Daktari wa Hospitali ya Rufaa Mtwara Baada ya Tuhuma za Kupokea Rushwa

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi kwa muda usiojulikana daktari mmoja wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara, Ligula, Dkt. Fortunatus Namahala, kufuatia kuwa na tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.