Monday, February 22, 2016

Anonymous

VideoMpya ya YAMOTO Band ft Zena “Mama” Imeachiwa Tayari, Itazame na Kuidownload Hapa

Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo February 22 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya “Mama” ambayo wamemshirikisha Zena…. ukishaitazama video hiyo hapo chini unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue mashabiki wao wanasema nini…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.