Thursday, February 25, 2016

Anonymous

VIDEO ya Magoli Yote ya YANGA SC vs JKT Mlale FA Cup Feb 24 2016, Full Time 2-1

Mtu wangu wa nguvu burudani na mshikemshike wa mechi za Ligi Kuu Tanzania bara unaendelea, lakini Jumatano ya February 24, Yanga wameshuka dimbani kucheza mchezo wao wa 16 wa Kombe la FA dhidi ya klabu ya JKT Mlale ya Ruvuma Songea, Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Yanga yalifungwa na Paul Nonga dakika ya 38 na Thabani Kamusoko dakika ya 58, wakati goli pekee la JKT lilifungwa na Shabani Mgandila dakika ya 22.
Kama ulikosa muda wa kucheki mechi video ya magoli ya Yanga Vs JKT Mlale hii

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.