Thursday, February 18, 2016

Anonymous

VIDEO: Waziri Mkuu Alivyokutana na Viongozi wa Michezo na Kukagua Uwanja wa Taifa


Mchana wa February 17 waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alikutana na wadau na viongozi wa vyama vya michezo mbalimbali katika ukumbi wa mikutano uliyopo ndani ya uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Mh waziri mkuu aliyehudhuria shughuli hii, alianza kwa kukagua uwanja wa Taifa wa Basket Ball indoor na uwanja wa Taifa wa soka.
Hii ni video inayomuonesha waziri mkuu Kassim Majaliwa akizungungunzia na viongozi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.