Saturday, February 13, 2016

Anonymous

VIDEO: Tembo Avamia Mtaani na Kusababisha Dhahama Kubwa... Shuhudia Ilivyokua Hapa

Ikiwa imepita wiki moja tangu Chui aingie ndani ya majengo ya Shule ya Bweni kwenye mji wa Bangalore hii ni nyingine kali kutokea kwenye mji huu mtu wangu wa nguvu Tembo kaingia mtaani na kuanza kuharibu mali za watu, Nyumba zidi ya 100, Pikipiki na Magari yameharibiwa na mnyama huyo aliyekuwa akipita mtaani. Hata hivyo mnyama huyo hakuweza kuzuru mtu yeyote mpaka baadae alipokamatwa na kupandishwa kwenye gari ili kupelekwa msituni
Tazama video ya Tembo akiwa mtaaani

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.