Tuesday, February 23, 2016

Anonymous

VIDEO: Kocha LOUIS VAN GAAL Alivyoaanza Kutetea Kibarua Chake MAN UNITED Kwa Kufanya Mauaji Haya Jana Usiku!

Baada ya Jumapili ya February 21 kuchezwa michezo mitatu ya Kombe la FA na kushuhudia Chelsea ikiiondoa Man City kwa jumla ya goli 5-1, usiku wa February 22 klabu ya Man United ilishuka dimbani kuchuana na klabu ya Shrewsbury Town katika mchezo wao wa Kombe la FA.
5184
Man United ambao walikuwa ugenini waliibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya Man United yalianza kufungwa dakika ya 37 na Chris Smalling, kabla ya dakika nane mbele kiungo wa kimataifa wa Hispania Juan Mata kupachika goli la pili kwa kupiga mpira wa faulo kifundi na kutinga wavuni na  dakika ya  71  Jesse Lingard akahitimisha kwa kufunga goli la tatu. 
Mdau wangu kama ulikosa kutazama mechi hiyo hii ndio video ya magoli yote ya mchezo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.