Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania aitwae Gigy Money.
Baada ya hizo taarifa kusambaa, Tekno alipost na kuandikiwa caption ya picha yake kwenye Instagram kwa Kiswahili akionekana kukasirishwa na kilichosambazwa na Mrembo huyu ambapo moja ya sentensi zilisomeka ‘umelala na meneja wangu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha sasa unaleta stori kwamba umelala na mimi‘

Hii ishu ilimfanya Tekno aendelee
kupokea maswali mengi ya media aliporudi Tanzania tena Waandishi
wakimuuliza kuhusu Gigy huyohuyo… Tekno amesema hatopenda tena
kuiongelea hii ishu wala kuulizwa ila akasisitiza >>> ‘Kabla
ya yote sijui Gigy ni nani, ni mtu ambaye nilipiga nae picha tu, sina
chochote cha kufanya naye… namuheshimu na wala sio namdharau ila ni
kwamba simjui’
MSIKILIZE TEKNO KWA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI…

Note: Only a member of this blog may post a comment.