Wednesday, February 17, 2016

Anonymous

TAARIFA RASMI KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2015 HII HAPA

Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwakwenye mitandao ya kijamii kuwa Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi imetangaza kuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2015yamezuiwa kwa muda hadi tarehe 08/03/2016.

Baraza la Mitihani la Tanzanialinapenda kuwajulisha watahiniwa na umma kwa ujumla kuwa taarifa hizo ni za UONGO na zinalenga kupotosha umma na kuleta taharuki.

Hivyo,Baraza linaomba umma kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa Wizara haijasitisha utoaji wa matokeo hayo.
Matokeo yatatangazwa mara tu mchakato Utakapokamilika

Imetolewa na,
AFISA HABARI NA UHUSIANO
SOMA ZAIDI HAPA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.