Wednesday, February 17, 2016

Anonymous

Sikiliza Barua ya MAJONZI Aliyoiandika Mtanzania JACKLINE CLIFF Kutoka Gerezani China


 Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia mwandishi wa habari na Mtangazaji Millard Ayo barua ili aisome kwa Watanzania, bonyeza play au download kwenye hii video hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.