Wednesday, February 17, 2016

Anonymous

SHILOLE Afunguka: 'Kuiba Waume za Watu Sijazoea Je Kwa Huyu Kuna Mtu Kaibiwa? '

Baada ya kile kinachoonekana Shilole amepata pumziko jipya baada ya kutemana na Nuhu Mzwanda, leo ameweka picha akiwa na jamaa huyo na kuuliza swali kwa wadau kama kuna mtu kaibiwa....
Ameandika hivi;


 Shilolekiuno
Kuiba Waume za watu sijazoea! Je kuna mtu kaibiwa???

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.