Monday, February 29, 2016

Anonymous

Sakata la Umeya Dar: Mbunge wa Kawe, HALIMA MDEE Amejisalimisha Polisi Kuhojiwa Kufuatia Vurugu Zilizotokea!


Mbunge wa Kawe Mh.Halima Mdee amejisalimisha mwenyewe Polisi kutokana na sakata la umeya wa jiji la Dar es Salaam,ambapo muda mfupi baadae jeshi la polisi lilizingira nyumba yake kwa lengo la kumkamata.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.