Saturday, February 27, 2016

Anonymous

RASMI: Tazama Video Mpya ya Wimbo wa NAY wa Mitego Ulioleta Utata Mpaka Kufungiwa na Basata-Shika Adabu Yako

Msanii Nay wa Mitego baada ya nyimbo yake kukatazwa kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Basata ameachia video ya wimbo huo unaitwa “Shika Adabu Yako”, Video imeongozwa na Nicklass, angalia au download video hiyo hapa chini halafu toa maoni yako kwa comment box tafadhali.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.