Sunday, February 14, 2016

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia Mapokezi ya DIAMOND, Familia Yake na Team yake Mjini KISUMU!

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari na Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini humo.




USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.