Friday, February 26, 2016

Anonymous

Mwanamuziki MAROMBOSO Amuweka Wazi Baba yake Mzazi Baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba MAROMBOSO Kwenye Kipindi cha Tegua Mtego

Maromboso kutoka Yamoto Band ameamua kumuonyesha baba yake Mzazi baada ya Jamaa mmoja wa Bodaboda Kujitangaza kuwa yeye ndiye Baba Maromboso, Maromboso aliposti Picha na Kuandika “Huyu Ndo Baba yangu …..Mzee Yusuph Kilungi … Sasa huyo jamaa Wa Tegua mtego ” Boda boda anayejita Baba Maromboso ajipange“

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.