Kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo feb 23 2016 ni muendelezo wa hekaheka ya feb 22 stori inatokea Tabata Dar, Mume kakutwa na Mama yake Mzazi kitandani wakiwa na nusu uchi.
Stori ya jana Geah Habib alipata time ya kuhoji mkasa mzima ulivyotokea, hapa mke anasimulia ‘mimi nilikuja kutokea Ilala, nikawakuta wapangaji wenzangu wakinisubiri wanipe habari, mimi nikafungua pazia nikamkuta mama na mwana wakiwa kwenye kitanda kimoja wakiwa nusu wazi ‘
‘mimi sikuwa na lakusema zaidi ya kuwasalimia na kutoka kumshtua mama mdogo, baada ya wao kutuona mama mkwe akaanza kujisogeza pembeni ya kitanda na kuzugazuga’
‘wapangaji wakaniambia walikuwa wananitafuta kwasasabu huyu mama huwa anakuja na akija hataki kuonekana na watu, wanakaa ndani ikifika jioni anamchukua mwanaye wanaenda kula na wanalala hadi asubuhi ‘
Unaweza kuisikiliza full stori ya leo mwendelezo kwenye hii sauti hapa chini….

Note: Only a member of this blog may post a comment.