Monday, February 22, 2016

Anonymous

LULU Michael Azushiwa Kifo...Mwenyewe Afunguka MAZITO!

Kwenye ukurasa wake wa instagram Lulu ameandika maneno hayo huku akionyeshwa kuchukizwa na kitendo hicho cha kuzushiwa kifo, na kujisifia kuwa ana jina maarufu.

"Nasikia Nimekufa, wewe uliye Post hii Kama wewe utakuwepo tutaonana tena 2017 Inshaallah, halafu jifunze na kuandika Elizabeth vizuri kwanza (Niki report live kutoka heaven), this shows how jina langu lina KiKi, nishasema mniache jamani, kufa ntakufa sikatai lakini mpaka nimalize miaka iliyoandikwa kwenye biblia", aliandika Lulu.

Maneno hayo ya Lulu yameibua hisia za watu na kumjia juu mtu aliyepost taarifa hiyo kwenye mitandao, huku wakimtaka Lulu kutopigizana nao kelele kwani yeye ni kioo cha jamii hivyo ni kawaida kwa kuzushiwa taarifa za uongo.
Tazama taarifa hiyo ya kifo cha Lulu hapa chini:

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.