Saturday, February 13, 2016

Anonymous

LINEX Amchana Laivu Director ADAM JUMA... Asema Hatafanya Nae Video Tena!

LINEX AMCHANA ADAM JUMA LIVE...ASEMA HATAFANYA NAE TENA VIDEO YEYOTE...KWANI ALIMFANYIA VIDEO MBOVU YA SALIMA.



AKIONGEA NA TV YA CLOUD KATIKA KIPINDI CHA D'WIKEND CHATSHOW AMESEMA YEYE NDO MSANII ALIYE MLIPA PESA NYINGI KULIKO MSANII YEYOTE KIASI CHA TSH. MILION 5. LAKINI AKAMFANYIA VIDEO MBOVU KUPINDUKIA NA KASEMA ADAM KACHANGIA KWA KIASI FLAN KUMRUDISHA NYUMA

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.