Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, February 22, 2016
Anonymous
Kweli Siasa si Uadui: Hawa Juzi Nusura Wazipige Laivu Laivu... Leo Mchana Hali Ilikuwa Hivi Wakimsubiri Waziri Mkuu Airport [+PICHAZ]
Mbunge wa Iringa mjiniPeter Msigwaakiwa na mkuu wa wilaya Kasesela wakimsubiri waziri mkuu Airport.. Unakumbuka juzi karibu wazichape laivu bila gloves? Hii ndio siasa bwana!
Note: Only a member of this blog may post a comment.