Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa kidato cha nne mwaka 2013, Robina Nicholaus
Hali wakuu?
Baada ya matokeo ya form IV kumekuwa na mihemko na tafsiri mbalimbali kuhusu shule za serikali na binafsi. mimi leo najiuliza pia nawauliza maswali haya hapa chini wenzangu.

Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa kidato cha nne mwaka 2015, Butogwa Shija.
1. Maendeleo ya watoto ambau huwa best katika hatua zinazoendelea kwa mfano high school na vyuo? je bado wanakuwa best huko? kazini nk?
2. Ubunifu wa hawa vichwa vyetu. je matokeo haya yanatafsiri uwezo wao wa ubunifu katika maisha?
3. Value for money; kama wazazi na wandugu wa hawa vijana mbali ya lugha kuna kitu cha kujivunia kuhusu watoto wetu? Nami namsomesha wangu private but hata kama anafanya vizuri nahisi kama natumia pesa nyingi zaidi ya kile anachopewa...
Mpo huru kuongeza maswali....
Nawasilisha

Note: Only a member of this blog may post a comment.