Idris Amkingia Kifua WEMA SEPETU, ni Baada ya Kuambiwa Anamharibu... Otoa Onyo Kali
Ukitaka kukosana na Idris Sultan, mtukane kipenzi chake, Wema Sepetu. Mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 aligeuka mbogo baada ya shabiki mmoja kudai kuwa Wema anampoteza. Jionee mwenyewe alichokipost hapa:

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.