Friday, February 19, 2016

Anonymous

Huyu Ndiye Binti Aliyeongoza Kitaifa Katika Matokeo ya Mtihani wa Kidato Cha Nne

Huyu ndiye Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne toka shule ya Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es Salaam jana.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.