Jux amekuwa akiulizwa mara kadhaa na waandishi wa habari kuhusu suala hilo lakini amekuwa hataki kulizungumzia suala hilo lakini kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds Fm Radio amefungukia suala hilo na kusema kuwa hapendi kulizungumzia suala hilo ili asije akaonekana anapatia umaarufu au kiki kupitia yaliyo msibu mpenzi wake.
Thursday, February 18, 2016
Hii Ndio Sababu Kwanini Mwanamuziki JUX Hapendi Kumuongelea Mpenzi Wake wa Zamani JACK CLIFF Aliyeko Jela China
Jux amekuwa akiulizwa mara kadhaa na waandishi wa habari kuhusu suala hilo lakini amekuwa hataki kulizungumzia suala hilo lakini kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds Fm Radio amefungukia suala hilo na kusema kuwa hapendi kulizungumzia suala hilo ili asije akaonekana anapatia umaarufu au kiki kupitia yaliyo msibu mpenzi wake.

Note: Only a member of this blog may post a comment.