Monday, February 15, 2016

Anonymous

HAPA KAZI TU! Wodi Mpya ya Wazazi Muhimbili Tayari, Jionee Mwenyewe [PICHAZ]

Baada ya watu kushinda kwenye viyoyozi siku nzima wakati wagonjwa wakilala chini kwenye jumba linalovuja maji ya choo, Raisi aliagiza wafanyakazi wahame ili wapishe wagonjwa na hilo lilifanyika mara moja kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini!
Angalia mwisho kabisa ya ukuta utaona flat screen TV hawa ndiyo waliokuwa wanalilia kuona Bunge live TBC wakati wa kazi huku wagonjwa wakiwa wamelala chini na hawa wafanyakazi watakuwa wanachadema Tu


Waziri wa Afya Bi.Umi Mwalimu akiratibu zoezi zima!



Wagonjwa wakiwa tayari juu ya vitanda vipya na wodi mpya, namna hii hata Mungu ni lazima atubariki kwa kujali watu wetu wenye udhaifu!
Hongera Raisi Magufuli hongera Waziri Mwalimu!

HAPA KAZI TU!​

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.