Mrisho Mpoto alipata nafasi ya kukaa kwenye Interview na Mtangazaji wa Radio na Millard Ayo na kueleza mambo mengi ikiwemo maisha na historia yake ila kwa leo utafahamu jinsi wimbo wa Mjomba ulivyomkutanisha na Rais Kikwete.
Mpoto anasema wimbo huo ulipotoka ilikua shida baada ya wimbo kuonekana kama unamzungumzia Rais Kikwete, yote yaliyotokea Mrisho Mpoto kayasimulia hapa chini kwenye hii video.

Note: Only a member of this blog may post a comment.