Friday, February 26, 2016

Anonymous

Dakika 7 za Mpiga Picha wa Mwananchi Kutaka Kunyang’anywa Kamera na Waziri wa Zamani WASSIRA… (+AUDIO)

Moja kati ya stori kubwa za leo kwenye Amplifaya ya Clouds Fm ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera na Waziri wa zamani Mheshimiwa Stephen Wassira, ripota wa millardayo amempata Michael Jamsoni na sentensi zake. 

Yeye alikuwa kwenye haraKati za kunyang’anya kamera na kudelete picha katika harakati za kunirukia na kunikimbiza watu wakatafsiri kama tunapigana au anataka kunipiga lakini naamini kama ningesimama bila kumkwepwa yawezekana tungevaana maungoni;-Michael Jamsoni 

Hasa aliniuliza kwanini unapiga picha unapeleka mtandao gani? nikamwambia mimi siko mtandao wowote niko Gazeti la Mwananchi na hapa nipo kazini, basi akaniambia futa picha zangu;-  Unaweza kuipata full stori kwa kuisikiliza hapa chini…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.