Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, December 8, 2015
Anonymous
VIDEO: ‘Sikumpigia Kura Rais MAGUFULI Ila….’ -Nay wa Mitego
Nay wa Mitego ni msanii wa bongofleva ambaye wakati wa kampeni za Urais Tanzania mwaka 2015 alihusika kumpigia kampeni Mgombea Urais Edward Lowassa wa UKAWA, Nay amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kueleza anayoyaona kwa Magufuli.
Note: Only a member of this blog may post a comment.