Monday, December 7, 2015

Anonymous

Mchungaji GWAJIMA Aufyata Kwa Rais MAGUFULI

"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe"
Sehemu ya mahuburi yake Jumapili ya tarehe 6/12/2015 kanisani kwake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.