#HABARIZAHIVIPUNDE: Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye, amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe (Pichani chini) na ameagiza wawekwe chini ya ulinzi wote na kumfukuza kazi katibu mkuu uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.


Note: Only a member of this blog may post a comment.