Katika kipindi cha kuuliza maswali kwa wagombea nafasi za Upika,Mbunge
mpya wa jimbo la Mtama Nape Nnauye aliyeuliza swali lilotafsiriwa na
wabunge kuwa ni la kejeli na vijembe hali iliyomfanya mwenyekiti wa muda
wa kikao Adrew Chenge kusema kuwa Swali la NAPE siyo Swali.Hata Ole
Medeye wa chamdema alipopata nafasi alisema kuwa kinachomsumbua Nape ni
utoto!
Swali lake lilikuwa Hili:
Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaacha?!
Swali lake lilikuwa Hili:
Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaacha?!
Note: Only a member of this blog may post a comment.