Mbunge wa Singida Magharibi Kwa Tiketi Ya CCM Awasilisha Barua Kwa Katibu Wa Bunge Kukataa Kulipwa Posho na Badala Yake Zipelekwe Jimboni Kwake
Mbunge wa Singida Magharibi jana aliwasilisha barua kwa katibu wa bunge ili kusimamisha posho zake zote "sitting allowance" na kuziweka kwenye akaunti maalum kwa ajili ya maendeleo ya jimbo hususan kwenye maji, elimu na afya...
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.