Alisema hayo alipokuwa akizungumza na mwandishi jana na kufafanua kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na polisi, bado uchunguzi dhidi ya vifaa hivyo unaendelea na vitarudishwa baada ya shughuli hiyo kukamilika.
Aidha, alisema anasikitishwa na kitendo hicho kilichofanywa na polisi kwani walikuwa wakifanya kazi hiyo kisheria na kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwa maslahi ya taifa.


Note: Only a member of this blog may post a comment.