KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya
nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama
imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African
Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter.

Stori:Gabriel Ng’osha
Tuzo aliyoshinda Mkama.
Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii
kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,
New York, Marekani.Stori:Gabriel Ng’osha
Note: Only a member of this blog may post a comment.