Thursday, November 5, 2015

Anonymous

Hii Ndio List ya Watu 10 Wanaokubalika Zaidi Duniani, Namba ni Nani?! Majibu Yapo Hapa...

Jarida la Forbes wameitambulisha hii list jana November 04 2015, na unaambiwa majina haya 10 ndio yameonekana kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kukubalika Duniani.
Kabla ya kuitambulisha list, Forbes walifanya kazi ya kutafiti vitu vingi sana ikiwemo kuangalia mtu huyo ni kiongozi wa watu wengi kiasi gani, utajiri wake, anakubalika kiasi gani na anatuamiaje nafasi aliyonayo?
Hapa ni majina kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho mtu wangu.
  1. Vladimir Putin — Rais wa Russia
  2. Angela Merkel – Chancellor wa Ujerumani
  3. Barack Obama — Rais wa Marekani
  4. Pope Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani
  5. Xi Jinping – Rais wa China
  6. Bill Gates — Boss wa Kampuni ya Microsoft
  7. Janet Yellen – Mtaalam wa masuala ya Uchumi Marekani
  8. David Cameron —Waziri Mkuu wa Uingereza
  9. Narendra Modi – Waziri Mkuu wa India
  10. Larry Page – Boss wa Kampuni ya Google
List Forbes

To Forbes III Top Forbes II

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.