HABARI PICHAZ: Hali si Shwari Kivuko cha Kigamboni Jijini Dar...Baadhi ya Watu Watumia Mitumwi ya Wavuvi Kuvuka!
Kivuko cha MV Magogoni leo asubuhi kimepata hitilafu na hivyo kushindwa kufanya kazi ya kuvusha watu kutoka na kwenda Kigamboni
Hali hii imesababisha baadhi ya watu kutumia mitumbwi ya wavuvi kuvuka
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.