Thursday, November 5, 2015

Anonymous

Alichokiandika EDWARD LOWASSA Leo Siku ya Kuapishwa MAGUFULI Kuhusu Ujio wa TB JOSHUA Nyumbani Kwake!

Lowasaa amepost picha hii na kuandika ujumbe huu hapa chini mapema leo hii:
Edward Ngoyai Lowassa
Nashukuru kwa heshima aliyonipa mtumishi wa Mungu, T.B Joshua kwa kuja nyumbani kujadili mambo ya taifa, na baadaye kushiriki kwenye sala na ndugu na familia. Mungu atuongoze. Mungu ibariki Tanzania!
Nashukuru kwa heshima aliyonipa mtumishi wa Mungu, T.B Joshua kwa kuja nyumbani kujadili mambo ya taifa, na baadaye kushiriki kwenye sala na ndugu na familia. Mungu atuongoze. Mungu ibariki Tanzania!
Posted by Edward Ngoyai Lowassa on Wednesday, November 4, 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.