Friday, October 30, 2015

Anonymous

Viongozi wa Dini wa Tanzania Mbona Mko Kimya?

Viongozi wa dini wengi kabla ya uchaguzi wanakuwa mstari wa mbele kuhubiri amani kwa watanzania!
Uchaguzi unapofanyika na haki za kidemokrasia kukiukwa hawathubutu kusema neno lolote lile ili kutetea haki!

Pia wanaharakati pamoja na wazee wanaoheshimika nchini nao pia kimya!
Je, wengi wao ni wanafiki na waoga? Mbona sasa hivi hakuna anayesema neno? Au kila kitu kipo sawa 100%?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.