Boniface Ngumije
Mwanamuziki Vanessa Mdee ‘V- Money’ hivi karibuni aliwaacha hoi mashabiki wake baada ya kumpa malovee kijana sharobaro aliyepanda stejini kudansi naye wimbo wake wa No Body But Me.
Tukio hilo lililowaacha midomo wazi watu lilichukua nafasi juzikati
ndani ya Uwanja wa Leaders Club jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Kill
Festival.
Awali, msanii huyo alianza kuimba kwa madoido huku akipandisha mzuka watu waliokuwa eneo hilo lakini ghafla aliomba mtu wa kucheza naye na alipopanda kijana huyo jukwaani alimuonesha malovee ikiwa ni pamoja na kumkumbatia, kumbusu na kumuacha amiliki mwili wake kwa muda.
Mwanamuziki Vanessa Mdee ‘V- Money’ hivi karibuni aliwaacha hoi mashabiki wake baada ya kumpa malovee kijana sharobaro aliyepanda stejini kudansi naye wimbo wake wa No Body But Me.
Awali, msanii huyo alianza kuimba kwa madoido huku akipandisha mzuka watu waliokuwa eneo hilo lakini ghafla aliomba mtu wa kucheza naye na alipopanda kijana huyo jukwaani alimuonesha malovee ikiwa ni pamoja na kumkumbatia, kumbusu na kumuacha amiliki mwili wake kwa muda.
Note: Only a member of this blog may post a comment.