Monday, October 26, 2015

Anonymous

TUME: Mpaka sasa MAGUFULI Anaongoza Katika Majimbo 9 Huku LOWASSA Akiongoza Manne [+AUDIO]

Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi la kutangaza matokeo ya Urais ambapo jioni hii imetoa matokeo ya majimbo mengine 10

Majimbo hayo ni Bumbuli, Kibaha Mjini,Chambani,Mtambile,Nsimbo,Ndanda,Kiwani,Kiwengwa
Idadi hii imetimiza idadi ya majimbo 13 ukijumulisha na yale matatu yaliyokuwa yametangazwa leo asubuhi.

Katika majimbo haya, Magufuli ameshinda majimbo 9 na Lowassa ameshinda majimbo Manne
Msikilize Mwenyekiti wa Tume Akitangaza
NEC: Matokeo Ya Urais Kutoka Majimboni

NEC: Matokeo Ya Urais Kutoka Majimboni

Posted by Dar24 on Monday, October 26, 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.