Thursday, October 15, 2015

Anonymous

TIDDO MUHANDO Tutakuwa Live Kuripoti Kila Kitu Muda Wote wa Uchaguzi

Azam TV itatenga channel moja dedicated kuripoti kila tukio siku ya uchaguzi live....tutatumia chopa mbili na drones kukusanya taarifa na matukio,.satelite uplink zaidi ya 50 na maripota nchi nzima....pia matokeo kadri kura zitakavyondikwa vituoni...utashuhudia nyumbani kwako....tutakua live usiku na mchana kwa masaa 72, kuanzia oktoba 25....
Tiddo Muhando,
CEO AZAM TV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.