Thursday, October 15, 2015

Anonymous

PICHAZ: Gari la Serikali Kwenye Kampeni za CCM

 
Hili gari namba yake halali ni DFP 9186 kama inavyoonekana kwenye kioo cha pembeni sasa inakuwaje huyu jamaa amezificha hizo namba kwenye vioo kwa tinted na kisha ameweka namba nyingine na kuitumia kwenye kampeni zake za KISIASA? NI HALALI HII? Naombeni mwongozo waungwana. ..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.