Thursday, October 22, 2015

Anonymous

Matusi kwa LOWASSA Yalivyobuma na Kumuongezea Umaarufu


Matusi ni silaha sawa na zilivyo silaha nyingine za kupambana na adui, lakini silaha hii haijafua dafu kwa Lowassa. Wanaompenda Lowassa hawakatishwi na matusi kwa Lowassa. Wanaompenda Lowassa na UKAWA wanaposikia matusi dhidi ya Lowassa na UKAWA wanajihisi kama vile wametukanwa wao pia.
Hivyo, wanapambana na matusi hayo kwa njia mbalimbali kama vile kuzidisha mahaba kwa Lowassa, kuhudhuria mikutano yake, kukaa kimya bila kuyajibu, kuzima na kususia vyombo vya habari (redio, tv na magazeti) vinayotumika kupeperusha matusi hayo, kuongeza zaidi mbinu za kampeni na hatimaye kujiandikisha na kwenda kupiga kura kwa wingi.
Baada ya matusi kushindwa kufanya kazi yake iliyokusudiwa kwa Lowassa mbinu gani mpya itafuata?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.