Thursday, October 22, 2015

Anonymous

MASWALI na MAJIBU ya LOWASSA Leo Alipokua Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Swahili!

Siasa zetu za hapa kwetu ambazo wakati mwingine wanasiasa wanawaandaa waandishi wa habari ili wawaulize maswali ya kuwapendelea leo imekua tofauti baada ya mh Lowasa kukutana na maswali ya BBC na kuyajibu kihivi:
BBC: Mh Lowasa unasema kwamba utatoa elimu bure kuanzia chini mpaka chuo kikuu hizi pesa zitapatikana vipi?
Jibu: Pesa zipo nyingi tu kwenye gesi,tuna madini....!
BBC: Lakini ulishakua waziri mkuu vp hili lilishindikanaje ukiwa waziri mkuu?
Jibu: Tulijenga shule za kata nyingi sana.
BBC: Lakini elimu haikua bure mh Lowasa?
Jibu: Nadhani unanionea.
Kesho atahojiwa Magufuli ndipo watu watatofautisha hawa wawili.
Swali hapa ni Je, Lowasa kaweza kutetea hoja zake au lah?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.