Hii imetokea jana huko katika vijiji vya Kaskazini mwa India baada ya
chui kuvamia..katika pitapita alikutana na maji yaliyokuwa ndani ya
chungu na kuanza kunywa lakini alishindwa kutoka ndani ya chungu hicho
na kujikuta akiondoka nacho.
Taarifa hiyo iliripotiwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo na
kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ambapo katika video alionekana chuo
huyo akijitahidi kujitoa lakini haikuwezekana hadi walipokuja maafisa wa
wanyama pori.
Iliwachukua zaidi ya masaa sita kwa maofisa hao kuweza kufanikisha zoezi hilo la kumtoa kisha kumrejesha kwenye hifadhi yake.
Tazama video hiyo hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.