Mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ametweet kuhusu
taarifa hizo:
"Nimetoka kupokea taarifa inayothibitisha kwamba chopa aliyokuwa
amekodi Ndugu yetu Filikunjombe imeanguka na watu wote wamefariki"
"Siku mbili zilizopita niliongea kwa kirefu na Deo kuhusu mikakati. Nimepoteza rafiki na ndugu. Mungu amrehemu na pole kwa familia za wafiwa"
"Siku mbili zilizopita niliongea kwa kirefu na Deo kuhusu mikakati. Nimepoteza rafiki na ndugu. Mungu amrehemu na pole kwa familia za wafiwa"

Note: Only a member of this blog may post a comment.