Wednesday, October 28, 2015

Anonymous

IDD AZAN wa CCM Aaangukia Pua Jimbo la KINONDONI

Aliyekua mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azzan wa CCM
Mgombea Ubunge wa jimbo Kinondoni Maulid Mtulia aibuka mshindi katika jimbo hilo na kumshinda kwa kura aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kwa takribani miaka 10 Iddi Azzan.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.