Thursday, October 22, 2015

Anonymous

Huyu Dada Anajiita Jack LOWASSA Ameweza Sana Kwenye Hizi Kampeni!

Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na CHADEMA. Hata yeye peke yake kwa quality ya post zake ni zaidi ya akina Wema, Aunt na wengineo ukiwajumlisha wa kambi ya Magufuli.

Yaani japo nlikua simjui ni nani ila kupitia post zake nimeona ni mdada anaejielewa kiasi kushinda hao celebrities wengine. Na hata ubongo wake utakuwa na IQ kushinda hao wengine...
Nyinyi wenzangu mlioko insta sijui mmeona vip ukiweka uchama pembeni.
Kwa hiyo huyu Wolper mi nampa alama A na moja kwa moja namtunuku degree ya heshima " HONORIS CAUSA FIRST CLASS"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.