Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree!
Jaribu bahati yako, muda uliobakia ni mchache sana. Mwisho wa kutuma
maombi ni November 3, 2015.
Usikubali kutoa pesa kwa mtu au shirika lolote wanaokupata ahadi kuwa watakuongeza nafasi zaidi za wewe kushinda kuchaguliwa katika mpango huu. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na internet na kutuma ombi mara moja tu kwa mwaka. Ukituma mara mbili au zaidi basi ombi lako litaenguliwa. Mamia ya watanzania wameshanufaika na mpango huu.
Angalizo: Maombi ni bure na usikubali kutapeliwa!
Kwa taarifa zaidi kwa lugha ya kiingereza bofya hapa http://1.usa.gov/1NRbPng.

Note: Only a member of this blog may post a comment.