Thursday, October 15, 2015

Anonymous

DIAMOND Kuchuana na Staa wa Movie za Kihindi Priyanka Chopra Kwenye MTV EMA



Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Muigizaji wa filamu, muimbaji na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra.

STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametajwa kuchuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra katika tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) katika kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’.

Diamond amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zitakazotolewa Oktoba 25, 2015 jijini Milan, Italy.
Kumpigia kura Diamond Bonyeza hapa >>> VOTE

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.